Mfano Wa Katiba Ya Kikundi Cha Familia 2021

familia ya Mzee Juma Shaban na wake zake (wote waliopita na walio hai), pamoja na wazao wetu wa kizazi cha nne, kwa kutambua umuhimu wa umoja, upendo, na uwajibikaji;

Mwenyekiti: _________________ Tarehe: __________Katibu: ____________________ Tarehe: __________ mfano wa katiba ya kikundi cha familia

Kila mwanachama lazima awe na nidhamu na heshima kwa wengine. 3. UONGOZI Kikundi kitaongozwa na: Msimamizi mkuu na msemaji wa kikundi. Katibu: Mtunza kumbukumbu za vikao na mawasiliano. Mhazini: Mtunza fedha na mwekaji wa hesabu. 4. MICHANGO NA FEDHA Kiingilio: Kila mwanachama mpya atalipa Sh [Kiasi]. Mchango wa Mwezi: Sh [Kiasi] kila tarehe [Tarehe] ya mwezi. familia ya Mzee Juma Shaban na wake zake